MWANZA
MWANZA
May 6, 2018 Cities,Destinations
The city of Mwanza is the major Tanzanian port on Lake Victoria and a center of economic importance in the region. The lake borders Uganda to the north-west, and Kenya to the north-east, and export an Read More

MAELEZO YA JUMLA KUHUSU MKOA

Mkoa wa Kagera unapatikana kaskazini magharibi mwa nchi ya Tanzania. Makao makuu ya mkoa yapo katika mji wa Bukoba umbali wa kilometa 1500 kutoka Dar es Salaam, mkoa huu unapakana na nchi ya Uganda kwa kaskazini, Rwanda na Burundi kwa upande wa magharibi mkoa wa Kigoma, Mwanza kwa upande wa kusini na ziwa Victoria kwa upande wa mashariki. Vile vile mkoa wa Kagera uko kusini mwa ikweta kati ya 1 “00” na 2”45” latitudi. Kwa Iongitudo uko katika nyuzi 30”25” na 32”40” Mashariki mwa ‘greenwich’.

Mkoa wa Kagera ulijulikana kama “Ziwa Magharibi” jina hili lilidumu katika kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru mpaka mwaka 1979 baada ya vita kati ya Tanzania na Uganda.

Mkoa ulipata jina hili kutokana na mto Kagera ambao hutiririsha maji yake kutoka Rwanda kupitia kaskazini na kumwaga maji yake katika ziwa Victoria.

Mkoa wa Kagera una jumla ya eneo la kilomita za mraba 39,168 kati ya hizo kilometa za mraba 28,513 ni eneo la nchi kavu za kilomita 10,655 ni eneo la maji. Ukiacha mbali wilaya za Biharamulo na Chato ambazo ni tambarare sehemu kubwa ya mkoa ni yenye milima na vilima vilivyogawanywa na mabonde yenye matingatinga. Upande wa magharibi wa mkoa mito mingi inamwaga maji yale katika mto Kagera ambao nao humwaga maji yake katika ziwa Victoria.

HALI YA HEWA

Hali ya hewa ya mkoa wa Kagera kwa ujumla ni ya joto la wastani wa 26.02 sentigredi. Mvua zinanyesha kwa wastani wa milimita 800-1,100 kwa mwaka kati ya mwezi Septemba na Januari na kati ya mwezi Machi na Mei. Mvua hizi ndizo zinazowezesha kuwepo kwauoto wa asili wa kuvutia katika maeneo mengi ya mkoa. Kwa miaka ya kawaida mkoa hupata mvua za uhakika za vuli na masika ambazo ni muhium kwa shughuli za kilimo na ufugaji.

Mawasiliano

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
S.L.P 299
Bukoba.
SIMU: 255 28 2220215/17
Nukushi: 255 28 2222341
BARUA PEPE:
[email protected]
[email protected]

About AAR Healthcare
AAR Healthcare Holdings Limited is a leading medical service provider with 3 subsidiaries in East Africa and one Hospital in Uganda. These include:
1. AAR Health Care Kenya Ltd,
2. AAR Health Care Uganda Limited
3. AAR Health Care Tanzania Ltd
4. Kampala Hospital Ltd
As pioneers in the provision of private healthcare in the region, AAR Healthcare’s success has largely been driven by our people and their commitment to always offer high quality and affordable healthcare – by operating responsibly, executing with excellence, applying innovative technologies and capturing new opportunities for profitable growth.
Contacts:
Regent Estate
Chato Street, Ali Hassan Mwinyi Road+ 255 22 270 111Dar es salaam